1 Kings 15:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitawala kwa muda wa miaka arubaini na mmoja. Mama yake alikuwa Maaka, binti Absalomu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akatawala katika Yerusalemu miaka arobaini na moja. Bibi yake aliitwa Maaka binti Abishalomu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akatawala miaka arobaini na mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitawala kwa muda wa miaka arubaini na mmoja. Mama yake alikuwa Maaka, binti Absalomu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akatawala katika Yerusalemu miaka arobaini na mmoja. Jina la bibi yake aliitwa Maaka binti Abishalomu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akatawala katika Yerusalemu miaka arobaini na mmoja. Bibi yake aliitwa Maaka binti Abishalomu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akatawala miaka arobaini na mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitawala kwa muda wa miaka arubaini na mmoja. Mama yake alikuwa Maaka, binti Absalomu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawa mfalme miaka 41 mle Yerusalemu; jina la mama yake ni Maka, binti Abisalomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akatawala miaka arobaini na mmoja huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitawala kwa muda wa miaka makumi ine na mumoja. Tate yake aliitwa Maka, binti ya Abisaloma.