1 Kings 15:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Asa alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Daudi babu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asa akatenda yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, kama alivyokuwa ametenda Daudi, baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Asa akafanya yaliyo mema machoni pa Mungu, kama alivyofanya babaye Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Asa alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Daudi babu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asa akatenda yaliyo mema machoni mwa BWANA, kama alivyokuwa ametenda Daudi baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asa akatenda yaliyo mema machoni mwa bwana, kama alivyokuwa ametenda Daudi baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Asa akafanya yaliyo mema machoni pa Mungu, kama alivyofanya babaye Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Asa alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Daudi babu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asa akayafanya yanyokayo machoni pake Bwana kama baba yake Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Asa akafanya yaliyo mema machoni pa Mungu, kama alivyofanya babaye Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Asa alitenda mambo yanayokuwa mema mbele ya Yawe kama vile Daudi babu yake alivyofanya.