1 Kings 15:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwafukuza nchini wale wafiraji wa kidini, akaziondoa sanamu zote ambazo babu zake walikuwa wamezitengeneza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawafukuza mahanithi wa mahali pa ibada za sanamu kutoka nchi, na kuondoa sanamu zote ambazo baba zake walikuwa wametengeneza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawafukuza mahanithi katika nchi, akaziondoa sanamu zote walizozifanya baba zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwafukuza nchini wale wafiraji wa kidini, akaziondoa sanamu zote ambazo babu zake walikuwa wamezitengeneza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawafukuza mahanithi wa mahali pa kuabudia miungu kutoka katika nchi na kuondoa sanamu zote ambazo baba zake walikuwa wametengeneza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawafukuza mahanithi wa mahali pa kuabudia miungu kutoka nchi na kuondoa sanamu zote ambazo baba zake walikuwa wametengeneza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawafukuza mahanithi katika nchi, akaziondoa sanamu zote walizozifanya baba zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwafukuza nchini wale wafiraji wa kidini, akaziondoa sanamu zote ambazo babu zake walikuwa wamezitengeneza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatowesha wagoni wa patakatifu katika nchi yake, hata magogo yote ya kutambikia, baba zake waliyoyatengeneza, akayaondoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawafukuza mahanithi katika nchi, akaziondoa sanamu zote walizozifanya baba zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliwafukuza toka katika inchi wale wote waasherati wa kidini, akaziondoa sanamu zote ambazo babu zake walikuwa wamezitengeneza.