1 Kings 15:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimvua Maaka, mama yake, cheo chake cha mama malkia, kwa sababu alitengeneza sanamu ya Ashera, mungu wa kike, na hiyo sanamu akaivunjavunja na kuiteketeza kwenye bonde la Kidroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata akamwondoa bibi yake Maaka kwenye wadhifa wake kama mama malkia, kwa sababu alikuwa ametengeneza nguzo ya Ashera ya kuchukiza. Asa akaikata hiyo nguzo na kuiteketeza kwa moto katika Bonde la Kidroni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata na Maaka, mamaye, akamwondolea daraja yake asiwe malkia, kwa kuwa amefanya sanamu ya kuchukiza kwa Ashera; basi Asa akaikata sanamu yake akaiteketeza penye kijito cha Kidroni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimvua Maaka, mama yake, cheo chake cha mama malkia, kwa sababu alitengeneza sanamu ya Ashera, mungu wa kike, na hiyo sanamu akaivunjavunja na kuiteketeza kwenye bonde la Kidroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata akamwondoa bibi yake Maaka kwenye nafasi yake kama mama malkia, kwa sababu alikuwa ametengeneza nguzo ya Ashera ya kuchukiza. Asa akakatakata hiyo nguzo na kuiteketeza kwa moto kwenye Bonde la Kidroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata akamwondoa bibi yake Maaka kwenye wadhifa wake kama mama malkia, kwa sababu alikuwa ametengeneza nguzo ya Ashera ya kuchukiza. Asa akaikata hiyo nguzo na kuiteketeza kwa moto katika Bonde la Kidroni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata na Maaka, mamaye, akamwondolea daraja yake asiwe malkia, kwa kuwa amefanya sanamu ya kuchukiza kwa Ashera; basi Asa akaikata sanamu yake akaiteketeza penye kijito cha Kidroni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimvua Maaka, mama yake, cheo chake cha mama malkia, kwa sababu alitengeneza sanamu ya Ashera, mungu wa kike, na hiyo sanamu akaivunjavunja na kuiteketeza kwenye bonde la Kidroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mama yake Maka akamwondoa katika ukuu wake, kwa kuwa alitengeneza kinyago cha Ashera, nacho hicho kinyago chake Asa akakikatakata,, akakiteketeza penye kijito cha Kidoroni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata na Maaka, mamaye, akamwondolea daraja yake asiwe malkia, kwa kuwa amefanya sanamu ya kuchukiza kwa Ashera; basi Asa akaikata sanamu yake akaiteketeza penye kijito cha Kidroni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamwondoa tate yake Maka cheo chake cha mama malkia, kwa sababu alitengeneza sanamu ya Ashera na hiyo sanamu akaivunjavunja na kuiteketeza kwenye bonde la Kidroni.