1 Kings 15:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalemu. Mama yake alikuwa Maaka binti Absalomu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akatawala huko Yerusalemu miaka mitatu. Mama yake aliitwa Maaka binti Abishalomu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalemu. Mama yake alikuwa Maaka binti Absalomu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye akatawala katika Yerusalemu miaka mitatu. Mama yake aliitwa Maaka binti Abishalomu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye akatawala huko Yerusalemu miaka mitatu. Mama yake aliitwa Maaka binti Abishalomu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalemu. Mama yake alikuwa Maaka binti Absalomu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawa mfalme miaka 3 mle Yerusalemu; jina la mama yake ni Maka, binti Abisalomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miaka mitatu akatawala huko Yerusalemu; na jina la mamaye aliitwa Maaka, binti Absalomu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitawala kwa muda wa miaka mitatu akiwa Yerusalema. Mama yake, ambaye alikuwa binti ya Abisaloma, aliitwa Maka.