1 Kings 15:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Baasha alipopata habari za mashambulizi hayo aliacha kuujenga mji wa Rama akaishi katika Tirza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baasha aliposikia jambo hili, akasimamisha ujenzi wa Rama, akaenda kuishi Tirsa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa Baasha aliposikia habari hiyo akaacha kuujenga Rama, akaenda akakaa Tirza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Baasha alipopata habari za mashambulizi hayo aliacha kuujenga mji wa Rama akaishi katika Tirza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati Baasha aliposikia hili, akaacha kuijenga Rama na akaenda kuishi Tirza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati Baasha aliposikia hili, akaacha kuijenga Rama na akaenda kuishi Tirsa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa Baasha aliposikia habari hiyo akaacha kuujenga Rama, akaenda akakaa Tirza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Baasha alipopata habari za mashambulizi hayo aliacha kuujenga mji wa Rama akaishi katika Tirza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basa alipoyasikia haya akaacha kuujenga Rama, akaja kukaa Tirsa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa Baasha aliposikia habari hiyo akaacha kuujenga Rama, akaenda akakaa Tirza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Basha alipopata habari za mashambulizi hayo aliacha kuujenga muji wa Rama akaenda kukaa Tirza.