1 Kings 15:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnamo mwaka wa pili wa utawala wa Asa huko Yuda, Nadabu, mwana wa Yeroboamu, alianza kutawala huko Israeli. Alitawala kwa muda wa miaka miwili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nadabu mwana wa Yeroboamu akawa mfalme wa Israeli katika mwaka wa pili wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, naye akatawala Israeli kwa miaka miwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nadabu mwana wa Yeroboamu alianza kutawala juu ya Israeli, mwaka wa pili wa Asa mfalme wa Yuda, akatawala juu ya Israeli miaka miwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnamo mwaka wa pili wa utawala wa Asa huko Yuda, Nadabu, mwana wa Yeroboamu, alianza kutawala huko Israeli. Alitawala kwa muda wa miaka miwili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nadabu mwana wa Yeroboamu akawa mfalme wa Israeli katika mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Asa wa Yuda, naye akatawala Israeli kwa miaka miwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nadabu mwana wa Yeroboamu akawa mfalme wa Israeli katika mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Asa wa Yuda, naye akatawala Israeli kwa miaka miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nadabu mwana wa Yeroboamu alianza kutawala juu ya Israeli, mwaka wa pili wa Asa mfalme wa Yuda, akatawala juu ya Israeli miaka miwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnamo mwaka wa pili wa utawala wa Asa huko Yuda, Nadabu, mwana wa Yeroboamu, alianza kutawala huko Israeli. Alitawala kwa muda wa miaka miwili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nadabu, mwana wa Yeroboamu, akapata kuwa mfalme wa Waisiraeli katika mwaka wa pili wa Asa, mfalme wa Wayuda; akawa mfalme wa Waisiraeli miaka 2.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nadabu mwana wa Yeroboamu alianza kutawala juu ya Israeli, mwaka wa pili wa Asa mfalme wa Yuda, akatawala juu ya Israeli miaka miwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka wa pili wa utawala wa Asa kule Yuda, Nadabu mwana wa Yeroboamu alianza kutawala katika inchi ya Israeli. Alitawala kwa muda wa miaka miwili.