1 Kings 15:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nadabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; akamwiga baba yake ambaye aliwafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akafanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, akienenda katika njia za baba yake na katika dhambi yake, aliyoisababisha Israeli kutenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, akaiendea njia ya baba yake, na kosa lake alilowakosesha Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nadabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; akamwiga baba yake ambaye aliwafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akafanya maovu machoni pa BWANA, akienenda katika njia za baba yake na katika dhambi yake, ambayo alisababisha Israeli kuifanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akafanya maovu machoni pa bwana, akienenda katika njia za baba yake na katika dhambi yake, ambayo alisababisha Israeli kuifanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, akaiendea njia ya baba yake, na kosa lake alilowakosesha Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nadabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; akamwiga baba yake ambaye aliwafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, akaendelea kuishika njia ya baba yake na kuyafanya makosa yake, yaliyowakosesha Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, akaiendea njia ya baba yake, na kosa lake alilowakosesha Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nadabu alitenda maovu mbele ya Yawe; alifuata mwenendo wa baba yake na kutenda zambi ileile ambayo aliwasukuma watu wa Israeli watende.