1 Kings 15:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baasha mwana wa Ahiya, wa kabila la Isakari, akala njama dhidi ya Nadabu. Basi, wakati Nadabu na jeshi lake walipokuwa wameuzingira mji wa Gibethoni wa Wafilisti, Baasha akamvamia na kumwua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baasha mwana wa Ahiya wa nyumba ya Isakari akapanga njama dhidi ya Nadabu, naye akamuua huko Gibethoni, mji wa Wafilisti, wakati Nadabu na Israeli yote walikuwa wameuzingira.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Baasha wa Ahiya, wa mbari ya Isakari, akamfanyia fitina; Baasha akampiga huko Gibethoni ulio wa Wafilisti; kwani Nadabu na Israeli wote walikuwa wakiuhusuru Gibethoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baasha mwana wa Ahiya, wa kabila la Isakari, akala njama dhidi ya Nadabu. Basi, wakati Nadabu na jeshi lake walipokuwa wameuzingira mji wa Gibethoni wa Wafilisti, Baasha akamvamia na kumwua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baasha mwana wa Ahiya wa nyumba ya Isakari akafanya shauri baya dhidi yake, naye akamwua huko Gibethoni, mji wa Wafilisti, wakati Nadabu na Israeli yote walipokuwa wameuzingira.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baasha mwana wa Ahiya wa nyumba ya Isakari akafanya shauri baya dhidi yake, naye akamuua huko Gibethoni, mji wa Wafilisti, wakati Nadabu na Israeli yote walipokuwa wameuzingira.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Baasha wa Ahiya, wa ukoo wa Isakari, akamfanyia fitina; Baasha akampiga huko Gibethoni ulio wa Wafilisti; kwani Nadabu na Israeli wote walikuwa wakiuhusuru Gibethoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baasha mwana wa Ahiya, wa kabila la Isakari, akala njama dhidi ya Nadabu. Basi, wakati Nadabu na jeshi lake walipokuwa wameuzingira mji wa Gibethoni wa Wafilisti, Baasha akamvamia na kumwua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Basa, mwana wa Ahia, wa mlango wa Isakari, akamlia njama, kisha Basa akampiga kule Gibetoni ulioko kwa Wafilisti, yeye Nadabu na Waisiraeli wote walipokuwa wanausonga Gibetoni kwa kuuzinga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Baasha wa Ahiya, wa mbari ya Isakari, akamfanyia fitina; Baasha akampiga huko Gibethoni ulio wa Wafilisti; kwani Nadabu na Israeli wote walikuwa wakiuhusuru Gibethoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basha mwana wa Ahiya, wa kabila la Isakari, akamufanyia Nadabu shauri baya. Basi, wakati Nadabu na waaskari wake walipokuwa wakiushambulia muji wa Gibetoni wa Wafilistini, Basha akamwua,