1 Kings 15:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akatawala mahali pake. Huo ulikuwa mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Asa wa Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baasha akamuua Nadabu katika mwaka wa tatu wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, naye Baasha akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwaka wa tatu wa Asa mfalme wa Yuda Baasha akamwua, akatawala mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akatawala mahali pake. Huo ulikuwa mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Asa wa Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baasha akamwua Nadabu katika mwaka wa tatu wa kutawala kwake Asa mfalme wa Yuda, naye Baasha akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baasha akamuua Nadabu katika mwaka wa tatu wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, naye Baasha akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwaka wa tatu wa Asa mfalme wa Yuda Baasha akamwua, akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akatawala mahali pake. Huo ulikuwa mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Asa wa Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basa akamwua katika mwaka wa tatu wa Asa, mfalme wa Wayuda, akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwaka wa tatu wa Asa mfalme wa Yuda Baasha akamwua, akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akatawala kwa pahali pake. Huo ulikuwa mwaka wa tatu wa utawala wa mufalme Asa wa Yuda.