1 Kings 15:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abiya alitenda dhambi zilezile alizotenda baba yake, wala hakuwa na moyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama alivyokuwa babu yake Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alitenda dhambi zote baba yake alizotenda kabla yake; moyo wake haukuwa mkamilifu kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wake, kama moyo wa Daudi baba yake ulivyokuwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaziendea dhambi zote za babaye, alizozifanya kabla yake; wala moyo wake haukuwa mkamilifu na Bwana, Mungu wake, kama moyo wa Daudi babaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abiya alitenda dhambi zilezile alizotenda baba yake, wala hakuwa na moyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama alivyokuwa babu yake Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alitenda dhambi zote baba yake alizotenda kabla yake; moyo wake haukuwa mkamilifu kwa BWANA Mungu wake kama moyo wa Daudi baba yake ulivyokuwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alitenda dhambi zote baba yake alizotenda kabla yake; moyo wake haukuwa mkamilifu kwa bwana Mwenyezi Mungu wake kama moyo wa Daudi baba yake ulivyokuwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaziendea dhambi zote za babaye, alizozifanya kabla yake; wala moyo wake haukuwa mkamilifu kwa BWANA, Mungu wake, kama moyo wa Daudi babaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abiya alitenda dhambi zilezile alizotenda baba yake, wala hakuwa na moyo mwaminifu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wake, kama alivyokuwa babu yake Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaendelea kuyafanya makosa yote ya baba yake, aliyoyafanya machoni pake, nao moyo wake haukuwa wote mzima upande wa Bwana Mungu wake kama moyo wa baba yake Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaziendea dhambi zote za babaye, alizozifanya kabla yake; wala moyo wake haukuwa mkamilifu na BWANA, Mungu wake, kama moyo wa Daudi babaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abiyamu alitenda zambi zilezile baba yake alizotenda, wala hakukuwa na moyo mwaminifu kwa Yawe, Mungu wake, kama babu yake Daudi alivyokuwa.