1 Kings 15:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Asa wa Yuda na mfalme Baasha wa Israeli walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli wakati wote wa utawala wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zao zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Asa wa Yuda na mfalme Baasha wa Israeli walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli wakati wote wa utawala wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli wakati wote wa utawala wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zao zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Asa wa Yuda na mfalme Baasha wa Israeli walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vita vya kupigana kwao Asa na Basa, mfalme wa Waisiraeli, vikawako siku zao zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zao zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Asa wa Yuda na mufalme Basha wa Israeli walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala.