1 Kings 15:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alifanya hivyo kwa kuwa Daudi alitenda mema mbele yake na hakukiuka aliyomwamuru Mwenyezi-Mungu siku zake zote, isipokuwa tu ule mkasa wa Uria, Mhiti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, wala hakushindwa kuzishika amri zote za Mwenyezi Mungu siku zote za maisha yake, isipokuwa kwa suala la Uria, Mhiti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa Bwana, wala hakukosa katika yote aliyomwamuru, siku zote za maisha yake, isipokuwa katika habari ya Uria, Mhiti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alifanya hivyo kwa kuwa Daudi alitenda mema mbele yake na hakukiuka aliyomwamuru Mwenyezi-Mungu siku zake zote, isipokuwa tu ule mkasa wa Uria, Mhiti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa BWANA na hakushindwa kushika maagizo yote ya BWANA siku zote za uhai wake, isipokuwa katika habari ya Uria, Mhiti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa bwana na hakushindwa kushika maagizo yote ya bwana siku zote za uhai wake, isipokuwa katika habari ya Uria, Mhiti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa BWANA, wala hakukosa katika yote aliyomwamuru, siku zote za maisha yake, isipokuwa kuhusu Uria, Mhiti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alifanya hivyo kwa kuwa Daudi alitenda mema mbele yake na hakukiuka aliyomwamuru Mwenyezi-Mungu siku zake zote, isipokuwa tu ule mkasa wa Uria, Mhiti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Dawidi aliyafanya yanyokayo machoni pake Bwana, tena yote aliyomwagiza hakuyaacha siku zote za maisha yake, lisipokuwa lile jambo la Mhiti Uria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu Daudi alifanya yaliyo mema machoni pa BWANA, wala hakukosa katika yote aliyomwamuru, siku zote za maisha yake, isipokuwa katika habari ya Uria, Mhiti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alifanya hivyo kwa sababu Daudi alitenda mema mbele yake na hakuenda pembeni ya maagizo ya Yawe siku za maisha yake yote, isipokuwa tu lile jambo la Uria Muhiti.