1 Kings 15:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulikuwako vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote alipokuwa mtawala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote wa maisha ya Abiya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulikuwako vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote alipokuwa mtawala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote wa maisha ya Abiya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote wa maisha ya Abiya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote za maisha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulikuwako vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote alipokuwa mtawala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vita vya kupigana kwao Rehabeamu na Yeroboamu vikawako siku zote za maisha yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote za maisha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu wakati wote alipokuwa mutawala.