1 Kings 15:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnamo mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu, mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala huko Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa akawa mfalme wa Yuda,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwaka wa ishirini wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala juu ya Yuda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnamo mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu, mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala huko Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa ishirini wa kutawala kwake Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa akawa mfalme wa Yuda,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa akawa mfalme wa Yuda,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwaka wa ishirini wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala juu ya Yuda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnamo mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu, mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala huko Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa 20 wa Yeroboamu, mfalme wa Waisiraeli, Asa akapata kuwa mfalme wa Wayuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwaka wa ishirini wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala juu ya Yuda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika mwaka wa makumi mbili wa utawala wa Yeroboamu mufalme wa Israeli, Asa alianza kutawala kule Yuda.