1 Kings 16:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yehu mwana wa Hanani, dhidi ya Baasha:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
21 Ndipo neno la Mwenyezi Mungu likamjia Yehu mwana wa Hanani dhidi ya Baasha, kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo neno la Bwana likamjia Yehu mwana wa Hanani juu ya Baasha, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yehu mwana wa Hanani, dhidi ya Baasha:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yehu mwana wa Hanani dhidi ya Baasha, kusema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo neno la bwana likamjia Yehu mwana wa Hanani dhidi ya Baasha, kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yehu mwana wa Hanani juu ya Baasha, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yehu mwana wa Hanani, dhidi ya Baasha:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia Yehu, mwana wa Hanani, kwa ajili ya Basa kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo neno la BWANA likamjia Yehu mwana wa Hanani juu ya Baasha, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno la Yawe lilimufikia Yehu mwana wa Hanani kusema hivi juu ya Basha: