1 Kings 16:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu dhidi ya Baasha, kwa njia ya nabii Yehu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo, Zimri akawaangamiza jamaa yote ya Baasha, kama Mwenyezi Mungu alivyonena dhidi ya Baasha kupitia kwa nabii Yehu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo Zimri akaiharibu nyumba yote ya Baasha, sawasawa na neno la Bwana, alilolinena juu ya Baasha kwa Yehu nabii,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu dhidi ya Baasha, kwa njia ya nabii Yehu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Zimri akaangamiza jamaa yote ya Baasha, kulingana na neno la BWANA lililonenwa dhidi ya Baasha kupitia nabii Yehu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Zimri akaangamiza jamaa yote ya Baasha, kulingana na neno la bwana lililonenwa dhidi ya Baasha kupitia nabii Yehu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo Zimri akaiharibu nyumba yote ya Baasha, sawasawa na neno la BWANA, alilolinena juu ya Baasha kwa Yehu nabii,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu dhidi ya Baasha, kwa njia ya nabii Yehu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Zimuri alivyouangamiza mlango wa Basa, kama Bwana alivyosema kinywani mwa mfumbuaji Yehu yatakayompata Basa
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo Zimri akaiharibu nyumba yote ya Baasha, sawasawa na neno la BWANA, alilolinena juu ya Baasha kwa Yehu nabii,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ilikuwa kama Yawe alivyosema juu ya Basha, kwa njia ya nabii Yehu.