1 Kings 16:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mambo haya yalifanyika kwa sababu ya dhambi alizotenda Baasha na mwanawe Ela. Walimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa kutenda dhambi na kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi kwa sanamu za miungu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu ya dhambi zote Baasha na mwanawe Ela walizokuwa wametenda na wakasababisha Israeli kuzitenda, basi wakamkasirisha Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, kwa sanamu zao batili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu ya makosa yake Baasha, na makosa yote ya Ela mwanawe, waliyoyakosa, na kuwakosesha Israeli, wakimghadhibisha Bwana, Mungu wa Israeli, kwa matendo yao ya ubatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mambo haya yalifanyika kwa sababu ya dhambi alizotenda Baasha na mwanawe Ela. Walimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa kutenda dhambi na kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi kwa sanamu za miungu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu ya dhambi zote Baasha na mwanawe Ela walizokuwa wametenda na wakasababisha Israeli kuzitenda, basi wakamkasirisha BWANA, Mungu wa Israeli kwa sanamu zao zisizofaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu ya dhambi zote Baasha na mwanawe Ela walizokuwa wametenda na wakasababisha Israeli kuzitenda, basi wakamkasirisha bwana, Mungu wa Israeli kwa sanamu zao zisizofaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu ya makosa yake Baasha, na makosa yote ya Ela mwanawe, waliyoyakosa, na kuwakosesha Israeli, wakimghadhibisha BWANA, Mungu wa Israeli, kwa matendo yao ya ubatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mambo haya yalifanyika kwa sababu ya dhambi alizotenda Baasha na mwanawe Ela. Walimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa kutenda dhambi na kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi kwa sanamu za miungu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa ajili ya makosa yote ya Basa na kwa ajili ya makosa ya mwanawe Ela, waliyoyakosa na kuwakosesha Waisiraeli, wamchafue Bwana Mungu wa Isiraeli kwa mambo yao yasiyokuwa na maana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu ya makosa yake Baasha, na makosa yote ya Ela mwanawe, waliyoyakosa, na kuwakosesha Israeli, wakimghadhibisha BWANA, Mungu wa Israeli, kwa matendo yao ya ubatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mambo haya yalifanyika kwa sababu ya zambi Basha na mwana wake Ela alizotenda. Walimukasirikisha Yawe, Mungu wa Israeli, kwa kutenda zambi na kuwasukuma watu wa Israeli watende zambi kwa sanamu za miungu yao.