1 Kings 16:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Omri na majeshi yake akaondoka Gibethoni, akaenda na kuuzingira mji wa Tirza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Omri na Waisraeli wote pamoja naye wakaondoka Gibethoni na kuizingira Tirsa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Omri akapanda kutoka Gibethoni, na Israeli wote pamoja naye, wakauhusuru Tirza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Omri na majeshi yake akaondoka Gibethoni, akaenda na kuuzingira mji wa Tirza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Omri na Waisraeli wote pamoja naye wakaondoka Gibethoni na kuizingira Tirza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Omri na Waisraeli wote pamoja naye wakaondoka Gibethoni na kuizingira Tirsa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Omri akapanda kutoka Gibethoni, na Israeli wote pamoja naye, wakauhusuru Tirza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Omri na majeshi yake akaondoka Gibethoni, akaenda na kuuzingira mji wa Tirza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Omuri pamoja na Waisiraeli wote wakatoka Gibetoni, wakapanda, wausonge Tirsa kwa kuuzinga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Omri akapanda kutoka Gibethoni, na Israeli wote pamoja naye, wakauhusuru Tirza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Omuri na waaskari wake wakaondoka Gibetoni, wakaenda na kuushambulia muji wa Tirza.