1 Kings 16:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jambo hilo lilifanyika kwa sababu ya dhambi alizotenda alifanya maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, akamwiga Yeroboamu na kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu ya dhambi alizotenda, akifanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu na kuenenda katika njia za Yeroboamu na katika dhambi alizotenda na kusababisha Israeli kuzifanya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa sababu ya makosa aliyoyakosa, akifanya mabaya machoni pa Bwana, kwa kuiendea njia ya Yeroboamu na makosa yake aliyoyafanya akiwakosesha Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jambo hilo lilifanyika kwa sababu ya dhambi alizotenda alifanya maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, akamwiga Yeroboamu na kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu ya dhambi alizofanya, akitenda maovu machoni pa BWANA na kuenenda katika njia za Yeroboamu na katika dhambi alizofanya na kusababisha Israeli kuzifanya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu ya dhambi alizofanya, akitenda maovu machoni pa bwana na kuenenda katika njia za Yeroboamu na katika dhambi alizofanya na kusababisha Israeli kuzifanya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa sababu ya makosa aliyoyakosa, akifanya mabaya machoni pa BWANA, kwa kuiendea njia ya Yeroboamu na makosa yake aliyoyafanya akiwakosesha Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jambo hilo lilifanyika kwa sababu ya dhambi alizotenda alifanya maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, akamwiga Yeroboamu na kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwa ajili ya makosa yake, aliyoyakosa na kuyafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana akiendelea kuishika njia ya Yeroboamu na kuyafuata makosa yake, aliyoyafanya ya kuwakosesha Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa sababu ya makosa aliyoyakosa, akifanya mabaya machoni pa BWANA, kwa kuiendea njia ya Yeroboamu na makosa yake aliyoyafanya akiwakosesha Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jambo hilo lilifanyika kwa sababu ya zambi alizotenda. Alitenda maovu mbele ya Yawe; alifuata mwenendo wa Yeroboamu na kuwasukuma watu wa Israeli watende zambi.