1 Kings 16:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatimaye watu wa kundi lililomtambua Omri, wakawazidi nguvu wale waliomtambua Tibni mwanawe Ginathi; Tibni akafa na Omri akawa mfalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wafuasi wa Omri wakajionesha kuwa wenye nguvu kuliko wale wa Tibni, mwana wa Ginathi. Hivyo Tibni akafa, na Omri akawa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini hao watu waliomfuata Omri wakawashinda watu waliomfuata Tibni mwana wa Ginathi; basi akafa Tibni, akatawala Omri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatimaye watu wa kundi lililomtambua Omri, wakawazidi nguvu wale waliomtambua Tibni mwanawe Ginathi; Tibni akafa na Omri akawa mfalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wafuasi wa Omri wakajionyesha wenye nguvu kuliko wale wa Tibni mwana wa Ginathi. Hivyo Tibni akafa na Omri akawa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wafuasi wa Omri wakajionyesha wenye nguvu kuliko wale wa Tibni mwana wa Ginathi. Hivyo Tibni akafa na Omri akawa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini hao watu waliomfuata Omri wakawashinda watu waliomfuata Tibni mwana wa Ginathi; basi akafa Tibni, akatawala Omri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatimaye watu wa kundi lililomtambua Omri, wakawazidi nguvu wale waliomtambua Tibni mwanawe Ginathi; Tibni akafa na Omri akawa mfalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini watu waliokuwa upande wa Omuri wakapata nguvu kuliko wale waliokuwa upande wa Tibuni, mwana wa Ginati. Tibuni alipokufa, Omuri akaupata ufalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini hao watu waliomfuata Omri wakawashinda watu waliomfuata Tibni mwana wa Ginathi; basi akafa Tibni, akatawala Omri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa kundi lililomutambua Omuri, wakawazidia nguvu wale waliomutambua Tibuni mwana wa Ginati. Tibuni akakufa na Omuri akakuwa mufalme.