1 Kings 16:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Omri alianza kutawala mnamo mwaka wa thelathini na mmoja wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na miwili; miaka sita alikuwa anatawala kutoka mjini Tirza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika mwaka wa thelathini na moja wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Omri akawa mfalme wa Israeli, naye akatawala kwa miaka kumi na mbili, sita kati ya hiyo katika Tirsa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwaka wa thelathini na moja wa Asa, mfalme wa Yuda, Omri alianza kutawala juu ya Israeli, akatawala miaka kumi na miwili. Akatawala huko Tirza miaka sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Omri alianza kutawala mnamo mwaka wa thelathini na mmoja wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na miwili; miaka sita alikuwa anatawala kutoka mjini Tirza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika mwaka wa thelathini na moja wa kutawala kwake Asa mfalme wa Yuda, Omri akawa mfalme wa Israeli, naye akatawala kwa miaka kumi na miwili, sita kati ya hiyo katika Tirza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika mwaka wa thelathini na moja wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Omri akawa mfalme wa Israeli, naye akatawala kwa miaka kumi na miwili, sita kati ya hiyo katika Tirsa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwaka wa thelathini na moja wa Asa, mfalme wa Yuda, Omri alianza kutawala juu ya Israeli, akatawala miaka kumi na miwili. Akatawala huko Tirza miaka sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Omri alianza kutawala mnamo mwaka wa thelathini na mmoja wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na miwili; miaka sita alikuwa anatawala kutoka mjini Tirza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwaka wa 31 wa Asa, mfalme wa Wayuda, Omuri akapata kuwa mfalme wa Waisiraeli miaka 12. Alipoushika ufalme mle Tirsa miaka sita
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwaka wa thelathini na moja wa Asa, mfalme wa Yuda, Omri alianza kutawala juu ya Israeli, akatawala miaka kumi na miwili. Akatawala huko Tirza miaka sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Omuri alianza kutawala katika mwaka wa makumi tatu na mumoja wa utawala wa Asa mufalme wa Yuda. Alitawala kwa muda wa miaka kumi na miwili. Miaka sita alikuwa anatawala akiwa katika muji wa Tirza.