1 Kings 16:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Omri alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; alifanya maovu zaidi ya wale wote waliomtangulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Omri akatenda maovu machoni pa Mwenyezi Mungu na kutenda dhambi kuliko wote waliomtangulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana, akatenda maovu kuliko wote waliomtangulia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Omri alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; alifanya maovu zaidi ya wale wote waliomtangulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Omri akatenda maovu machoni pa BWANA na kutenda dhambi kuliko wote waliomtangulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Omri akatenda maovu machoni pa bwana na kutenda dhambi kuliko wote waliomtangulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, akatenda maovu kuliko wote waliomtangulia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Omri alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; alifanya maovu zaidi ya wale wote waliomtangulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Omuri akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana, naye akafanya mabaya zaidi kuliko wote waliokuwa mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, akatenda maovu kuliko wote waliomtangulia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Omuri alitenda maovu mbele ya Yawe. Alitenda maovu zaidi ya wale wote waliomutangulia.