1 Kings 16:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa sababu alimwiga Yeroboamu mwana wa Nebati, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi kwa kuabudu sanamu za miungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaenenda katika njia zote za Yeroboamu mwana wa Nebati na katika dhambi zake, ambazo alisababisha Israeli kutenda, hivyo basi wakamkasirisha Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, kwa sanamu zao batili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa kuwa aliiendea njia yote ya Yeroboamu mwana wa Nebati, na makosa yake, aliyowakosesha Israeli, ili kumghadhibisha Bwana, Mungu wa Israeli, kwa matendo yao ya ubatili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa sababu alimwiga Yeroboamu mwana wa Nebati, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi kwa kuabudu sanamu za miungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaenenda katika njia zote za Yeroboamu mwana wa Nebati na katika dhambi zake, ambazo alisababisha Israeli kutenda, hivyo basi wakamkasirisha BWANA, Mungu wa Israeli kwa sanamu zao zisizofaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaenenda katika njia zote za Yeroboamu mwana wa Nebati na katika dhambi zake, ambazo alisababisha Israeli kutenda, hivyo basi wakamkasirisha bwana, Mungu wa Israeli kwa sanamu zao zisizofaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa kuwa aliiendea njia yote ya Yeroboamu mwana wa Nebati, na makosa yake, aliyowakosesha Israeli, ili kumghadhibisha BWANA, Mungu wa Israeli, kwa matendo yao ya ubatili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa sababu alimwiga Yeroboamu mwana wa Nebati, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi kwa kuabudu sanamu za miungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaendelea kuzishika njia zote za Yeroboamu, mwana wa Nebati, na kuyafanya makosa yake yaliyowakosesha Waisiraeli, wamchafue Bwana Mungu wa Isiraeli kwa mambo yao yasiyokuwa na maana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa kuwa aliiendea njia yote ya Yeroboamu mwana wa Nebati, na makosa yake, aliyowakosesha Israeli, ili kumghadhibisha BWANA, Mungu wa Israeli, kwa matendo yao ya ubatili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alifuata mwenendo wa Yeroboamu mwana wa Nebati na kutenda zambi ambazo aliwasukuma watu wa Israeli watende. Akamukasirikisha Yawe, Mungu wa Israeli, juu ya kuabudu sanamu za miungu.