1 Kings 16:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya! Sasa, nitakufutilia mbali wewe na jamaa yako; nitaitendea jamaa yako kama nilivyoitendea jamaa ya Yeroboamu mwana wa Nebati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi nitamwangamiza Baasha pamoja na nyumba yake, nami nitaifanya nyumba yako kama ile ya Yeroboamu mwanawe Nebati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
angalia, kuondoa nitawaondoa Baasha na jamaa yake; tena nitaifanya nyumba yako iwe kama nyumba ya Yeroboamu mwana wa Nebati.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya! Sasa, nitakufutilia mbali wewe na jamaa yako; nitaitendea jamaa yako kama nilivyoitendea jamaa ya Yeroboamu mwana wa Nebati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi nitamwangamiza Baasha pamoja na nyumba yake, nami nitaifanya nyumba yako kama ile ya Yeroboamu mwanawe Nebati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi nitamwangamiza Baasha pamoja na nyumba yake, nami nitaifanya nyumba yako kama ile ya Yeroboamu mwanawe Nebati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
angalia, kuondoa nitawaondoa Baasha na jamaa yake; tena nitaifanya nyumba yako iwe kama nyumba ya Yeroboamu mwana wa Nebati.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya! Sasa, nitakufutilia mbali wewe na jamaa yako; nitaitendea jamaa yako kama nilivyoitendea jamaa ya Yeroboamu mwana wa Nebati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo utaniona, nikimzoa Basa pamoja na mlango wake, nikiutoa mlango wako, uwe kama mlango wa Yeroboamu, mwana wa Nebati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
angalia, kuondoa nitawaondoa Baasha na jamaa yake; tena nitaifanya nyumba yako iwe kama nyumba ya Yeroboamu mwana wa Nebati.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, nitakufagia kabisa wewe na jamaa yako. Nitaitendea jamaa yako kama vile nilivyoitendea jamaa ya Yeroboamu mwana wa Nebati.