1 Kings 16:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kuliko wafalme wote waliomtangulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahabu mwana wa Omri akafanya maovu zaidi machoni pa Mwenyezi Mungu kuliko yeyote aliyemtangulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ahabu mwana wa Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa Bwana kuliko wote waliomtangulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kuliko wafalme wote waliomtangulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ahabu mwana wa Omri akafanya maovu zaidi machoni mwa BWANA kuliko ye yote aliyewatangulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahabu mwana wa Omri akafanya maovu zaidi machoni mwa bwana kuliko yeyote aliyewatangulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ahabu mwana wa Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA kuliko wote waliomtangulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kuliko wafalme wote waliomtangulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ahabu, mwana wa Omuri, akayafanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana kuliko wote waliokuwa mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ahabu mwana wa Omri akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA kuliko wote waliomtangulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahabu alitenda maovu mbele ya Yawe kuliko wafalme wote waliomutangulia.