1 Kings 16:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimjengea Baali hekalu huko Samaria, na ndani yake akatengeneza madhabahu ya kumtambikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatengeneza madhabahu kwa ajili ya Baali katika hekalu la Baali alilolijenga huko Samaria.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamjengea Baali madhabahu katika nyumba ya Baali, aliyoijenga huko Samaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimjengea Baali hekalu huko Samaria, na ndani yake akatengeneza madhabahu ya kumtambikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akajenga madhabahu kwa ajili ya Baali katika hekalu la Baali lile alilolijenga huko Samaria.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akajenga madhabahu kwa ajili ya Baali katika hekalu la Baali lile alilolijenga huko Samaria.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamjengea Baali madhabahu katika nyumba ya Baali, aliyoijenga huko Samaria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimjengea Baali hekalu huko Samaria, na ndani yake akatengeneza madhabahu ya kumtambikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akampatia Baali pa kumtambikia katika nyumba ya Baali, aliyoijenga Samaria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamjengea Baali madhabahu katika nyumba ya Baali, aliyoijenga huko Samaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alimujengea Bali hekalu kule Samaria, na ndani yake akatengeneza mazabahu ya kumutambikia.