1 Kings 16:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hali kadhalika, alitengeneza sanamu ya Ashera mungu wa kike. Ahabu alitenda maovu mengi, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu Mungu wa Israeli zaidi ya wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia Ahabu alitengeneza nguzo ya Ashera na kufanya mengi ili kumkasirisha Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, kuliko walivyofanya wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ahabu akaifanya Ashera; Ahabu akazidi kumghadhibisha Bwana, Mungu wa Israeli, kuliko wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hali kadhalika, alitengeneza sanamu ya Ashera mungu wa kike. Ahabu alitenda maovu mengi, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu Mungu wa Israeli zaidi ya wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia Ahabu akatengeneza nguzo ya Ashera na kufanya mengi ili kumkasirisha BWANA, Mungu wa Israeli, kuliko walivyofanya wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia Ahabu akatengeneza nguzo ya Ashera na kufanya mengi ili kumkasirisha bwana, Mungu wa Israeli, kuliko walivyofanya wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ahabu akaifanya Ashera; Ahabu akazidi kumghadhibisha BWANA, Mungu wa Israeli, kuliko wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hali kadhalika, alitengeneza sanamu ya Ashera mungu wa kike. Ahabu alitenda maovu mengi, akamkasirisha Mwenyezi-Mungu Mungu wa Israeli zaidi ya wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Ahabu akatengeneza hata kinyago cha Ashera; ndivyo, Ahabu alivyozidisha kufanya mambo ya kumchafua Bwana Mungu wa Isiraeli kuliko wafalme wote wa Waisiraeli waliokuwa mbele yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ahabu akaifanya Ashera; Ahabu akazidi kumghadhibisha BWANA, Mungu wa Israeli, kuliko wafalme wote wa Israeli waliomtangulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile, alitengeneza sanamu ya Ashera. Ahabu alitenda maovu mengi, akamukasirikisha Yawe Mungu wa Israeli zaidi ya wafalme wote wa Israeli waliomutangulia.