1 Kings 16:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeyote wa jamaa yako atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbwa watawala walio wa nyumba ya Baasha watakaofia ndani ya mji, na ndege wa angani watawala wale watakaofia mashambani.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu amfiaye Baasha mjini mbwa watamla; naye amfiaye mashambani ndege wa angani watamla.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeyote wa jamaa yako atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbwa watawala watu wa Baasha watakaofia mjini na ndege wa angani watajilisha kwa wale watakaofia mashambani.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbwa watawala watu wa Baasha watakaofia mjini na ndege wa angani watajilisha kwa wale watakaofia mashambani.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu amfiaye Baasha mjini mbwa watamla; naye amfiaye mashambani ndege wa angani watamla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeyote wa jamaa yako atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao wa Basa watakaokufa mjini mbwa watawala; nao watakaokufa shambani madege wa angani watawala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu amfiaye Baasha mjini mbwa watamla; naye amfiaye mashambani ndege wa angani watamla.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu yeyote wa jamaa yako atakayekufia ndani ya muji, imbwa watamukula; na mutu yeyote atakayekufia katika shamba, ndege watamukula.”