1 Kings 16:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatimaye, Baasha alifariki, akazikwa huko Tirza; mwanawe Ela akatawala mahali pake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baasha akalala na baba zake naye akazikwa huko Tirsa. Naye Ela mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baasha akalala na babaze, akazikwa katika Tirza; naye Ela mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatimaye, Baasha alifariki, akazikwa huko Tirza; mwanawe Ela akatawala mahali pake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baasha akalala na baba zake naye akazikwa huko Tirza. Naye Ela mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baasha akalala na baba zake naye akazikwa huko Tirsa. Naye Ela mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baasha akalala na babaze, akazikwa katika Tirza; naye Ela mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatimaye, Baasha alifariki, akazikwa huko Tirza; mwanawe Ela akatawala mahali pake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basa akaja kulala na baba zake, akazikwa Tirsa, naye mwanawe Ela akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baasha akalala na babaze, akazikwa katika Tirza; naye Ela mwanawe akatawala mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo, Basha akakufa, akazikwa kule Tirza; mwana wake Ela akatawala kwa pahali pake.