1 Kings 17:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mwanamke alipokuwa anaondoka, Elia akamwita tena na kumwambia, “Niletee na kipande cha mkate pia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa anaenda kumletea, akamwita akasema, “Tafadhali niletee pia kipande cha mkate.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipokuwa akienda kuleta, akamwita akasema, Niletee, nakuomba, kipande cha mkate mkononi mwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mwanamke alipokuwa anaondoka, Elia akamwita tena na kumwambia, “Niletee na kipande cha mkate pia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokuwa anakwenda kumletea, akamwita akasema, “Tafadhali niletee pia kipande cha mkate.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa anakwenda kumletea, akamwita akasema, “Tafadhali niletee pia kipande cha mkate.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipokuwa akienda kuleta, akamwita akasema, Niletee, nakuomba, kipande cha mkate mkononi mwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mwanamke alipokuwa anaondoka, Elia akamwita tena na kumwambia, “Niletee na kipande cha mkate pia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwenda kuyaleta, akamwita na kumwambia: Uniletee hata kipande kidogo cha mkate mkononi mwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipokuwa akienda kuleta, akamwita akasema, Niletee, nakuomba, kipande cha mkate mkononi mwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mwanamuke alipokuwa anaondoka, Elia akamwita tena na kumwambia: “Uniletee na kipande cha mukate vilevile.”