1 Kings 17:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unga chunguni haukupunguka, wala mafuta katika chupa hayakwisha sawa kabisa na neno la Mwenyezi-Mungu alilomwambia Elia aseme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa kile chungu hakikuisha unga na ile chupa ya mafuta haikukauka sawasawa na lile neno la Mwenyezi Mungu lililonenwa na Ilya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lile pipa la unga halikupunguka, wala ile chupa ya mafuta haikuisha, sawasawa na neno la Bwana alilolinena kwa kinywa cha Eliya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unga chunguni haukupunguka, wala mafuta katika chupa hayakwisha sawa kabisa na neno la Mwenyezi-Mungu alilomwambia Elia aseme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa lile gudulia la unga halikwisha na ile chupa ya mafuta haikukauka, sawasawa na lile neno la BWANA alilosema Eliya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa lile gudulia la unga halikwisha na ile chupa ya mafuta haikukauka, sawasawa na lile neno la bwana alilosema Ilya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lile pipa la unga halikupunguka, wala ile chupa ya mafuta haikuisha, sawasawa na neno la BWANA alilolinena kwa kinywa cha Eliya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unga chunguni haukupunguka, wala mafuta katika chupa hayakwisha sawa kabisa na neno la Mwenyezi-Mungu alilomwambia Elia aseme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini unga haukuisha katika kitungi, wala kichupa hakikukosa mafuta, kama Bwana alivyosema kinywani mwa Elia.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lile pipa la unga halikupunguka, wala ile chupa ya mafuta haikuisha, sawasawa na neno la BWANA alilolinena kwa kinywa cha Eliya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unga ndani ya chungu haukupunguka, wala mafuta katika chupa hayakuisha sawa kabisa na neno la Yawe alilomwambia Elia aseme.