1 Kings 17:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elia akamwambia, “Nipe mwanao.” Basi, Elia akamtwaa mtoto kifuani pa mama yake, akamchukua juu chumbani mwake, akamlaza juu ya kitanda chake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilya akamjibu, “Nipe mwanao.” Ilya akampokea kutoka kifuani mwake, akambeba hadi chumba cha juu alipokuwa anaishi, akamlaza kitandani pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia, Nipe mwanao. Akamtoa katika kifua chake, akamchukua juu chumbani mle alimokaa mwenyewe, akamlaza kitandani pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elia akamwambia, “Nipe mwanao.” Basi, Elia akamtwaa mtoto kifuani pa mama yake, akamchukua juu chumbani mwake, akamlaza juu ya kitanda chake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eliya akamjibu, “Nipe mwanao.” Eliya akampokea kutoka kifuani mwake, akambeba mpaka chumba cha juu alipokuwa anaishi, akamlaza kitandani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilya akamjibu, “Nipe mwanao.” Ilya akampokea kutoka kifuani mwake, akambeba mpaka chumba cha juu alipokuwa anaishi, akamlaza kitandani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia, Nipe mwanao. Akamtoa katika kifua chake, akamchukua juu chumbani mle alimokaa mwenyewe, akamlaza kitandani pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elia akamwambia, “Nipe mwanao.” Basi, Elia akamtwaa mtoto kifuani pa mama yake, akamchukua juu chumbani mwake, akamlaza juu ya kitanda chake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elia akamwambia: Nipe mwanao! Akamchukua kifuani pake, akapanda naye darini, alimokuwa anakaa, akamlaza kitandani pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia, Nipe mwanao. Akamtoa katika kifua chake, akamchukua juu chumbani mle alimokaa mwenyewe, akamlaza kitandani pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elia akamwambia: “Unipe mwana wako.” Basi, Elia akamutwaa mutoto toka kifua cha mama yake, akamupeleka juu katika chumba chake, akamulalisha juu ya kitanda chake.