1 Kings 17:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Elia:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha neno la Mwenyezi Mungu likamjia Ilya, kusema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno la Bwana likamjia, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Elia:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha neno la BWANA likamjia Eliya, kusema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha neno la bwana likamjia Ilya, kusema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Neno la BWANA likamjia, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Elia:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha neno la Bwana likamjia la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno la BWANA likamjia, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, neno la Yawe lilimufikia Elia kusema hivi: