1 Kings 17:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Elia akajinyosha juu ya mtoto huyo mara tatu na kumwomba Mwenyezi-Mungu, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, mrudishie mtoto huyu roho yake!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akajinyoosha juu ya kijana mara tatu na kumlilia Mwenyezi Mungu, akisema, “Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu, nakuomba roho ya huyu kijana imrudie!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akajinyosha juu ya mtoto mara tatu, akamwomba Bwana, akanena, Ee Bwana, Mungu wangu, nakusihi, roho ya mtoto huyu imrudie ndani yake tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Elia akajinyosha juu ya mtoto huyo mara tatu na kumwomba Mwenyezi-Mungu, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, mrudishie mtoto huyu roho yake!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akajinyoosha juu ya kijana mara tatu na kumlilia BWANA, akisema, “Ee BWANA Mungu wangu, nakuomba roho ya huyu kijana imrudie!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akajinyoosha juu ya kijana mara tatu na kumlilia bwana, akisema, “Ee bwana Mwenyezi Mungu wangu, nakuomba roho ya huyu kijana imrudie!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akajinyosha juu ya mtoto mara tatu, akamwomba BWANA, akanena, Ee BWANA, Mungu wangu, nakusihi, roho ya mtoto huyu imrudie ndani yake tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Elia akajinyosha juu ya mtoto huyo mara tatu na kumwomba Mwenyezi-Mungu, “Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu, mrudishie mtoto huyu roho yake!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamkumbatia mtoto mara tatu na kumlalia juu, akamlilia Bwana akisema: Bwana Mungu wangu, roho ya huyu mtoto na irudi mwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akajinyosha juu ya mtoto mara tatu, akamwomba BWANA, akanena, Ee BWANA, Mungu wangu, nakusihi, roho ya mtoto huyu imrudie ndani yake tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Elia akajinyoosha juu ya mutoto yule mara tatu na kumwomba Yawe: “Ee Yawe, Mungu wangu, umurudishie mutoto huyu roho yake!”