1 Kings 17:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akasikiliza ombi la Elia; mtoto akaanza kupumua tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akasikia kilio cha Ilya, na roho ya kijana ikamrudia, naye akafufuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akaisikia sauti ya Eliya; na roho ya mtoto ikamrudia, akafufuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akasikiliza ombi la Elia; mtoto akaanza kupumua tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akasikia kilio cha Eliya, na roho ya kijana ikamrudia, naye akafufuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akasikia kilio cha Ilya, na roho ya kijana ikamrudia, naye akafufuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akaisikia sauti ya Eliya; na roho ya mtoto ikamrudia, akafufuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akasikiliza ombi la Elia; mtoto akaanza kupumua tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akaiitikia sauti ya Elia, roho ya mtoto ikarudi mwilini mwake, akawa mzima tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akaisikia sauti ya Eliya; na roho ya mtoto ikamrudia, akafufuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akasikiliza ombi la Elia. Mutoto akaanza kupumua tena.