1 Kings 17:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elia akamrudisha mtoto chini kwa mama yake, akamwambia, “Tazama! Mwanao yu hai.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilya akamtwaa kijana na kumbeba kutoka chumba chake cha juu, akamshusha, akampa mama yake na kusema, “Tazama, mwanao yu hai!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Eliya akamtwaa mtoto, akamchukua toka orofani mpaka chini ya nyumba ile, akampa mama yake. Eliya akanena, Tazama, mwanao yu hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elia akamrudisha mtoto chini kwa mama yake, akamwambia, “Tazama! Mwanao yu hai.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eliya akamtwaa kijana na kumbeba kutoka chumbani mwake akamshusha kumpeleka kwenye nyumba. Akampa mama yake na kusema, “Tazama, mwanao yu hai!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilya akamtwaa kijana na kumbeba kutoka chumbani mwake akamshusha kumpeleka kwenye nyumba. Akampa mama yake na kusema, “Tazama, mwanao yu hai!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Eliya akamtwaa mtoto, akamchukua toka ghorofani mpaka chini ya nyumba ile, akampa mama yake. Eliya akanena, Tazama, mwanao yu hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elia akamrudisha mtoto chini kwa mama yake, akamwambia, “Tazama! Mwanao yu hai.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Elia alipomchukua mtoto, akashuka naye nyumbani kutoka darini, akampa mama yake yeye Elia akimwambia: Tazama, mwanao ni mzima!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Eliya akamtwaa mtoto, akamchukua toka orofani mpaka chini ya nyumba ile, akampa mama yake. Eliya akanena, Tazama, mwanao yu hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elia akamurudisha mutoto chini kwa mama yake, akamwambia: “Angalia! Mwana wako yuko muzima.”