1 Kings 17:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo mwanamke mjane akamwambia Elia, “Sasa najua kwa hakika kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na maneno aliyokupa Mwenyezi-Mungu uyaseme ni ya kweli.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo yule mwanamke akamwambia Ilya, “Sasa ninajua kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na kwamba neno la Mwenyezi Mungu kutoka kinywani mwako ni kweli.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanamke akamwambia Eliya, Sasa najua ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, na ya kuwa neno la Bwana kinywani mwako ni kweli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo mwanamke mjane akamwambia Elia, “Sasa najua kwa hakika kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na maneno aliyokupa Mwenyezi-Mungu uyaseme ni ya kweli.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo yule mwanamke akamwambia Eliya, “Sasa ninajua kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na kwamba neno la BWANA kutoka kinywani mwako ni kweli.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo yule mwanamke akamwambia Ilya, “Sasa ninajua kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na kwamba neno la bwana kutoka kinywani mwako ni kweli.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanamke akamwambia Eliya, Sasa najua ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, na ya kuwa neno la BWANA kinywani mwako ni kweli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo mwanamke mjane akamwambia Elia, “Sasa najua kwa hakika kwamba wewe ni mtu wa Mungu, na maneno aliyokupa Mwenyezi-Mungu uyaseme ni ya kweli.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule mwanamke akamwambia Elia: Sasa hivi nimetambua, ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, nalo Neno la Mungu lililomo kinywani mwako ni la kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanamke akamwambia Eliya, Sasa najua ya kuwa wewe ndiwe mtu wa Mungu, na ya kuwa neno la BWANA kinywani mwako ni kweli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huyo mwanamuke mujane akamwambia Elia: “Sasa ninajua kwa hakika kwamba wewe ni mutu wa Mungu, na maneno Yawe aliyokupa uyaseme ni ya kweli.”