1 Kings 17:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ondoka hapa uelekee mashariki, ukajifiche penye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche karibu na Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondoka hapa, geuka, uende upande wa mashariki, ujifiche karibu na kijito cha Kerithi kinachokabili Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ondoka hapa uelekee mashariki, ukajifiche penye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ondoka hapa, elekea upande wa mashariki ukajifiche katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondoka hapa, geuka, uende upande wa mashariki, ujifiche karibu na kijito cha Kerithi kinachokabili Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ondoka hapa uelekee mashariki, ukajifiche penye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ondoka hapa, ujiendee upande wa maawioni kwa jua kijificha kwenye kijito cha Kriti kinachoingia Yordani!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondoka hapa, geuka, uende upande wa mashariki, ujifiche karibu na kijito cha Kerithi kinachokabili Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ondoka hapa uelekee upande wa mashariki, ujifiche kwenye kijito cha Keriti kinachokuwa upande wa mashariki wa muto Yordani.