1 Kings 17:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko, utapata maji ya kunywa katika kijito hicho tena nimewaamuru kunguru wakuletee chakula.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itakuwa utakunywa maji ya kile kijito; nami nimewaamuru kunguru wakulishe huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko, utapata maji ya kunywa katika kijito hicho tena nimewaamuru kunguru wakuletee chakula.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakunywa maji kutoka katika kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakunywa maji kutoka kile kijito, nami nimeagiza kunguru wakulishe huko.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Itakuwa utakunywa maji ya kile kijito; nami nimewaamuru kunguru wakulishe huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko, utapata maji ya kunywa katika kijito hicho tena nimewaamuru kunguru wakuletee chakula.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na unywe katika kijito hicho, tena nimeagiza makunguru, wakutunze kuko huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itakuwa utakunywa maji ya kile kijito; nami nimewaamuru kunguru wakulishe huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kule, utapata maji ya kunywa katika kijito kile. Tena nimewaamuru vibombobombo wakuletee chakula.”