1 Kings 17:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Elia akatii agizo la Mwenyezi-Mungu, akaenda kukaa kwenye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye akafanya kama alivyoambiwa na Mwenyezi Mungu. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani na akakaa huko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akaenda akafanya kama alivyosema Bwana; kwa kuwa akaenda akakaa karibu na kijito cha Kerithi, kinachokabili Yordani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Elia akatii agizo la Mwenyezi-Mungu, akaenda kukaa kwenye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo akafanya kile alichoambiwa na BWANA. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo akafanya kile alichoambiwa na bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akaenda akafanya kama alivyosema BWANA; kwa kuwa alikwenda akakaa karibu na kijito cha Kerithi, kinachokabili Yordani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Elia akatii agizo la Mwenyezi-Mungu, akaenda kukaa kwenye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipokwenda, afanye, kama Bwana alivyomwagiza, akaenda kukaa kwenye kijito cha Kriti kinachoingia Yordani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akaenda akafanya kama alivyosema BWANA; kwa kuwa akaenda akakaa karibu na kijito cha Kerithi, kinachokabili Yordani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Elia akatii agizo la Yawe, akaenda kukaa kwenye kijito cha Keriti kinachokuwa upande wa mashariki wa muto Yordani.