1 Kings 17:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini, baada ya siku chache kijito kikakauka kwa sababu hapakunyesha mvua nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda, kile kijito kikakauka kwa sababu mvua haikuwa imenyesha katika nchi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, baada ya siku kupita, kile kijito kikakatika, kwa sababu mvua haikunyesha katika nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini, baada ya siku chache kijito kikakauka kwa sababu hapakunyesha mvua nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda, kile kijito kikakauka kwa sababu mvua haikuwa imenyesha katika nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda, kile kijito kikakauka kwa sababu mvua haikuwa imenyesha katika nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, baada ya siku kupita, kile kijito kikakauka, kwa sababu mvua haikunyesha katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini, baada ya siku chache kijito kikakauka kwa sababu hapakunyesha mvua nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, siku zilipopita, kijito kikakauka, kwani hakuna mvua katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, baada ya siku kupita, kile kijito kikakatika, kwa sababu mvua haikunyesha katika nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini, nyuma ya siku chache kijito kikakauka kwa sababu hakukunyesha mvua katika inchi.