1 Kings 17:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Ondoka uende mjini Sarefathi, karibu na Sidoni, ukae huko. Nimemwamuru mwanamke mmoja mjane akupatie chakula huko.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ondoka, uende Sarepta ya Sidoni, ukae huko. Nimemwagiza mjane wa huko ili akuhudumie.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ondoka, uende Sarepta, ulio mji wa Sidoni, ukae huko. Tazama, nimemwagiza mwanamke mjane wa huko akulishe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Ondoka uende mjini Sarefathi, karibu na Sidoni, ukae huko. Nimemwamuru mwanamke mmoja mjane akupatie chakula huko.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ondoka, uende Sarepta ya Sidoni na ukae huko. Nimemwagiza mjane katika sehemu ile akupatie chakula.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ondoka, uende Sarepta ya Sidoni na ukae huko. Nimemwagiza mjane katika sehemu ile akupatie chakula.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ondoka, uende Sarepta, ulio mji wa Sidoni, ukae huko. Tazama, nimemwagiza mwanamke mjane wa huko akulishe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Ondoka uende mjini Sarefathi, karibu na Sidoni, ukae huko. Nimemwamuru mwanamke mmoja mjane akupatie chakula huko.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, uende Sareputa katika nchi ya Sidoni, ukae huko! Utaona huko mwanamke mjane, niliyemwagiza, akutunze.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ondoka, uende Sarepta, ulio mji wa Sidoni, ukae huko. Tazama, nimemwagiza mwanamke mjane wa huko akulishe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Ondoka uende katika muji wa Zerepata, karibu na Sidona, ukae kule. Nimemwamuru mujane mumoja akupatie chakula kule.”