1 Kings 18:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikawa baada ya siku nyingi, mnamo mwaka wa tatu wa ukame, neno hili la Mwenyezi-Mungu likamjia Elia: “Nenda ukajioneshe kwa mfalme Ahabu, halafu nitanyesha mvua nchini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda mrefu, katika mwaka wa tatu, neno la Mwenyezi Mungu likamjia Ilya kusema, “Nenda ukajioneshe kwa Ahabu nami nitaleta mvua juu ya nchi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa baada ya siku nyingi, neno la Bwana likamjia Eliya, katika mwaka wa tatu, kusema, Enenda, ukajionyeshe kwa Ahabu; nami nitaleta mvua juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikawa baada ya siku nyingi, mnamo mwaka wa tatu wa ukame, neno hili la Mwenyezi-Mungu likamjia Elia: “Nenda ukajioneshe kwa mfalme Ahabu, halafu nitanyesha mvua nchini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda mrefu, katika mwaka wa tatu, neno la BWANA likamjia Eliya kusema, “Nenda ukajionyeshe kwa Ahabu na mimi nitanyesha mvua juu ya nchi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda mrefu, katika mwaka wa tatu, neno la bwana likamjia Ilya kusema, “Nenda ukajionyeshe kwa Ahabu na mimi nitanyesha mvua juu ya nchi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa baada ya siku nyingi, neno la BWANA likamjia Eliya, katika mwaka wa tatu, kusema, Nenda, ukajionyeshe kwa Ahabu; nami nitaleta mvua juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikawa baada ya siku nyingi, mnamo mwaka wa tatu wa ukame, neno hili la Mwenyezi-Mungu likamjia Elia: “Nenda ukajioneshe kwa mfalme Ahabu, halafu nitanyesha mvua nchini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilipopita nyingi, neno la Bwana likamjia Elia katika mwaka wa tatu kwamba: Nenda kumtokea Ahabu! Kwani nitanyesha mvua katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa baada ya siku nyingi, neno la BWANA likamjia Eliya, katika mwaka wa tatu, kusema, Enenda, ukajionyeshe kwa Ahabu; nami nitaleta mvua juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya siku nyingi, katika mwaka wa tatu wa ukosefu wa mvua, neno la Yawe lilimufikia Elia kusema hivi: “Kwenda ujionyeshe kwa mufalme Ahabu, halafu nitanyesha mvua katika inchi.”