1 Kings 18:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na sasa, wataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kusema, ‘Ilya yuko hapa.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe sasa wasema, Enenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na sasa, wataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kusema, ‘Eliya yuko hapa.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kusema, ‘Ilya yuko hapa.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe sasa wasema, Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na sasa, wataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na sasa wewe unasema: Nenda, kamwambie bwana wako: Elia ameoneka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe sasa wasema, Enenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na sasa, unataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa!