1 Kings 18:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa waniambia ati niende kumwambia bwana wangu kwamba wewe Elia uko hapa! Ahabu ataniua.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nawe sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kumwambia, ‘Ilya yuko hapa.’ Yeye ataniua!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe sasa wasema, Enenda umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo; basi, ataniua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa waniambia ati niende kumwambia bwana wangu kwamba wewe Elia uko hapa! Ahabu ataniua.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawe sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kumwambia, ‘Eliya yuko hapa.’ Yeye ataniua!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawe sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kumwambia, ‘Ilya yuko hapa.’ Yeye ataniua!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe sasa wasema, Nenda umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo; basi, ataniua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa waniambia ati niende kumwambia bwana wangu kwamba wewe Elia uko hapa! Ahabu ataniua.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na sasa wewe unasema: Nenda, kamwambie bwana wako: Elia ameoneka! Ndipo, akaponiua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe sasa wasema, Enenda umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo; basi, ataniua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa unaniambia niende kumwambia bwana wangu kwamba wewe Elia uko hapa! Ahabu ataniua.”