1 Kings 18:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elia akamwambia, “Nakuapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, aishivyo ambaye ninamtumikia: Leo hii nitajitokeza mbele ya mfalme.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ilya akasema, “Kama Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni aishivyo, yeye ninayemtumikia, hakika nitajionesha kwa Ahabu leo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Eliya akasema, Kama Bwana wa majeshi aishivyo ambaye ninasimama mbele zake, hakika nitajionyesha kwake leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elia akamwambia, “Nakuapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, aishivyo ambaye ninamtumikia: leo hii nitajitokeza mbele ya mfalme.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eliya akasema, “Kama BWANA Mwenye Nguvu Zote aishivyo, yeye ninayemtumikia, hakika nitajionyesha kwa Ahabu leo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ilya akasema, “Kama bwana Mwenye Nguvu Zote aishivyo, yeye ninayemtumikia, hakika nitajionyesha kwa Ahabu leo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Eliya akasema, Kama BWANA wa majeshi aishivyo ambaye ninasimama mbele zake, hakika nitajionesha kwake leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elia akamwambia, “Nakuapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, aishivyo ambaye ninamtumikia: Leo hii nitajitokeza mbele ya mfalme.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Elia akamwambia: Hivyo, Bwana Mwenye vikosi, ninayemtumikia, alivyo Mwenye uzima, leo hivi nitamtokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Eliya akasema, Kama BWANA wa majeshi aishivyo ambaye ninasimama mbele zake, hakika nitajionyesha kwake leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elia akamwambia: “Kama vile Yawe wa majeshi anavyoishi, yule ambaye ninamutumikia: leo hii nitajitokeza mbele ya mufalme.”