1 Kings 18:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Obadia akaenda kwa mfalme Ahabu, akampa habari hizo. Naye Ahabu akaenda kukutana na Elia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Obadia akaenda kukutana na Ahabu na kumwambia; naye Ahabu akaenda kukutana na Ilya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, Obadia akaenda zake amwone Ahabu, akamwambia; naye Ahabu akaenda kumlaki Eliya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Obadia akaenda kwa mfalme Ahabu, akampa habari hizo. Naye Ahabu akaenda kukutana na Elia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Obadia akaenda kukutana na Ahabu na kumwambia, naye Ahabu akaenda kukutana na Eliya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Obadia akaenda kukutana na Ahabu na kumwambia, naye Ahabu akaenda kukutana na Ilya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, Obadia akaenda zake amwone Ahabu, akamwambia; naye Ahabu akaenda kumlaki Eliya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Obadia akaenda kwa mfalme Ahabu, akampa habari hizo. Naye Ahabu akaenda kukutana na Elia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, Obadia akaenda kukutana na Ahabu, akampasha habari hiyo. Ndipo, Ahabu alipokwenda kukutana na Elia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, Obadia akaenda zake amwone Ahabu, akamwambia; naye Ahabu akaenda kumlaki Eliya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Obadia akaenda kwa mufalme Ahabu, akamupa habari hizo. Naye Ahabu akaenda kukutana na Elia.