1 Kings 18:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ahabu alipomwona Elia, alisema, “Kumbe kweli ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahabu alipomwona Ilya, akamwambia, “Je, ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, Ahabu alipomwona Eliya, Ahabu akamwambia, Je! Ni wewe, Ewe mtaabishaji wa Israeli?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ahabu alipomwona Elia, alisema, “Kumbe kweli ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipomwona Eliya akamwambia, “Je, ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ahabu alipomwona Ilya, akamwambia, “Je, ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, Ahabu alipomwona Eliya, Ahabu akamwambia, Je! Ni wewe, Ewe mtaabishaji wa Israeli?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ahabu alipomwona Elia, alisema, “Kumbe kweli ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Ahabu alipomwona Elia, Ahabu akamwambia: Je? Wewe siwe uwaponzaye Waisiraeli?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, Ahabu alipomwona Eliya, Ahabu akamwambia, Je! Ni wewe, Ewe mtaabishaji wa Israeli?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ahabu alipomwona Elia, alisema: “Hakika ni wewe unayetaabisha Waisraeli?”