1 Kings 18:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Elia akaenda kujionesha kwa Ahabu. Wakati huo, njaa ilikuwa kali sana huko Samaria.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Ilya akaenda kujionesha kwa Ahabu. Wakati huo njaa ilikuwa kali sana katika Samaria,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Eliya akaenda ili ajionyeshe kwa Ahabu. Na njaa ilikuwa nzito katika Samaria.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Elia akaenda kujionesha kwa Ahabu. Wakati huo, njaa ilikuwa kali sana huko Samaria.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Eliya akaenda kujionyesha kwa Ahabu. Wakati huu njaa ilikuwa kali sana katika Samaria,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Ilya akaenda kujionyesha kwa Ahabu. Wakati huu njaa ilikuwa kali sana katika Samaria,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Eliya akaenda ili ajionyeshe kwa Ahabu. Na njaa ilikuwa nzito katika Samaria.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Elia akaenda kujionesha kwa Ahabu. Wakati huo, njaa ilikuwa kali sana huko Samaria.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Elia alipokwenda kumtokea Ahabu, lakini njaa ilikuwa ngumu huko Samaria.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Eliya akaenda ili ajionyeshe kwa Ahabu. Na njaa ilikuwa nzito katika Samaria.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Elia akaenda kujionyesha kwa Ahabu. Wakati huo, njaa ilikuwa kali sana kule Samaria.